FOBY AACHIA RASMI EP YAKE MPYA “ME, MYSELF AND I
Msanii wa Bongo Fleva, Frank Fredrick maarufu kama Foby,ameachia rasmi EP yake mpya inayokwenda kwa jina la Me Myself and I. Me Myself and I EP ina jumla ya ngoma 5 ambazo amezifanya kama msanii wa kujitegemea. Ep hiyo ina ngoma kama Joto, Muda, Put It Down,Nitamsea wapi na inapatikana kwenye majukwaa yote ya kupakua […]
Read More