FOBY ALILIA PENZI LA ZUCHU KUTOKA WCB
Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva Foby ameshindwa kabisa kuficha hisia zake kwa Mrembo Zuchu kutoka WCB. Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Foby ameamua kuonesha hisia zake kwa Zuchu kwa kuweka jumbe mbalimbali zikielezea jinsi Anamzimia. Foby amebainisha kuwa kuna kipindi aliishi kwa ugumu baada ya kusambaa kwa taarifa zikidai Zuchu anataka kuolewa. Hata hivyo […]
Read More