KRG The Don Akanusha Uhusiano na Freemasons, Afafanua Alama Zake za Mitandaoni
Msanii wa muziki wa dansi na mjasiriamali nchini Kenya, KRG The Don, amevunja ukimya wake kuhusu tuhuma za muda mrefu zinazomhusisha na kundi la kificho la Freemasons. Akiwa kwenye mahojiano ya hivi karibuni, KRG alikanusha vikali madai hayo na kueleza sababu halisi ya kutumia alama zinazodaiwa kuwa za Freemason kwenye picha na mitandao yake ya […]
Read More