FRENCH MONTANA MBIONI KUACHIA ALBUM MPYA

FRENCH MONTANA MBIONI KUACHIA ALBUM MPYA

Rapa  kutoka nchini marekani French montana ametangaza kuachia album yake mpya November 12, mwaka huu French amewajuza taarifa hiyo mashabiki zake kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo amesema album hiyo ameipa jina la “Thet Got Amnesia” Kwa mujibu wa French Montana Album hiyo inaelezea changamoto ya kiafya ambayo aliipitia miaka miwili iliyopita ambayo ilimfanya kupoteza […]

Read More