FRENCH MONTANA AFUNGULIWA KESI KWA TUHUMA ZA WIZI WA WIMBO
Rapa kutoka marekani French Montana ameburuzwa mahakamani kwa tuhuma za kuiba mistari ya wimbo wa kundi maarufu la Hip Hop “Hot Boys” lililovuma miaka ya 90. Rapa Turk ambaye ni memba wa kundi hilo amesema Montana ametumia mistari kwenye wimbo wake mpya “Hand stand” kutoka kwenye wimbo wao wa mwaka wa 1999 uitwao “I Need […]
Read More