Video ya Fresh Kid “Mazima” yafungiwa Uganda kisa maudhui ya dini
Idara ya upelelezi wa Jinai DCI , imeagiza kusitishwa kwa video ya wimbo wa msanii Fresh Kid “Maziima” kutokana na kipande kinachomuonesha msanii huyo pamoja na madansa wake wakiwa wamevalia mavazi ya maaskofu na watawa wa kikatoliki. Kulingana na msemaji wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Charles Twiine, video hiyo imeibua ukakasi na hisia za […]
Read More