PENZI LA HARMONIZE LAMPONZA KAJALA
Hakuna ubishi kuwa penzi la Staa wa Bongofleva toka Konde Music, Harmonize na Kajala linaendelea kutaradadi kila uchao baada ya wawili hao kurudiana wiki kadhaa zilizopita. Kwa sasa Harmonize yupo katika ziara ya kimuziki jijini Goma, DR Congo na kwa kweli Kajala ameshindwa kuvumilia upweke nyumbani. Muigizaji huyo ametumia ukurasa wake wa Instagram kuthibitisha mahaba […]
Read More