Fully Focus akata kiu ya mashabiki zake na EP mpya “African Ambassador”
Hatimaye mwanamuziki mwenye asili ya Kenya anaishi nchini Marekani Fully Focus amekata kiu ya mashabiki zake na EP mpya inayokwenda kwa jina la African Ambassador. EP hiyo ambayo ameitaja kuiandaa kwa takribani miaka minne imebeba jumla ya mikwaju 10 ya moto huku zote zikiwa ni kolabo. Fully Focus amewashirikisha wasanii mbali mbali wa humu nchini […]
Read More