Taharuki Baada ya Akaunti za Mastaa Kudukuliwa Mtandaoni
Mastaa kadhaa wakubwa duniani akiwemo Future, Michael Jackson, Adele, Tyla na wengine wamepata matatizo baada ya kuripotiwa kuwa kurasa zao za Instagram zimevamiwa (hacked). Kila akaunti iliyodukuliwa iliposti picha ile ile inayomuonesha mtu anayefanana na Future akiwa ameshika sarafu ya “Free Bandz” huku wakimtaja Future na kuweka anwani ya sarafu ya kidijitali (crypto address). Tukio […]
Read More