G Nako athibitisha ujio wa EP yake mpya

G Nako athibitisha ujio wa EP yake mpya

Mwanamuziki wa Bongofleva Gnako anauanza mwaka 2023 kwa burudani kali kwa mashabiki wake. Mkali huyo kutoka Weusi Kampuni ametangaza kuachia Extended Playlist (EP) yake mpya Februari 3, iitwayo Make You Dance. EP hiyo na ina jumla ya ngoma 7 pekee ambazo ni Mtoto wa mtu, Tusipangiane, How you move, Energy, Macho acha shobo, Hiyo hapo […]

Read More
 G NAKO AWABARIKI MASHABIKI NA KITIMOTO MINITAPE

G NAKO AWABARIKI MASHABIKI NA KITIMOTO MINITAPE

G-nako ni kati ya ma rappers wanaojua nini cha kuwapa mashabiki wao na kwa muda gani! Rapper huyo ambaye ni moja ya wanoaunda kundi la Weusi mara zote huwa hafanyi kazi mbovu, iwe ni ya kwake au ameshirikishwa. Kwa kujali mashabiki wake kuelekea mwishoni mwa mwaka 2021, G-Nako ameachia Minitape ambayo ameipa jina la ‘Kitimoto’ […]

Read More