GABIRO MTU NECESSARY KUACHIA ALBUM YAKE MPYA IJUMAA HII
Msanii wa muziki kutoka Kenya Gabiro Mtu Necessary ametangaza kuachia album yake mpya inayokwenda kwa jina la Saint Joint mwishoni mwa wiki hii. Gabiro Mtu Necesary ameweka wazi hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram huku akiwawataka mashabiki zake wakae mkao wa kula kuipokea album hiyo ambayo kwa mujibu wake ipo itaingia sokoni Aprili 29 mwaka huu. Licha […]
Read More