Rapa Gabiro Mtu Necessary aingia kwenye hatua ya kujadiliwa (consideration ) Grammy
Habari nzuri na kubwa kwa muziki wa Kenya ni kuwa kwa mara ya pili rapa Gabiro Mtu Necessary, amefanikiwa kuingia kwenye hatua ya kujadiliwa (consideration ) kwa ajili ya kuingia kuwania tuzo za 65 za Grammy . Gabiro Mtu Necessary ameingia kwenye tuzo hiyo kupitia kipengele cha Best Global Music Album na album yake Saint […]
Read More