GABIRO MTU NECESSARY AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA
Msanii kutoka nchini Kenya Gabiro mtu necessary ameachia rasmi album yake mpya “Saint John” ambayo mashabiki zake wamekuwa wakisubiri kwa hamu. “Saint John” ina jumla ya ngoma 11 za moto huku ikiwa na collabo 2 kutoka kwa wakali kama Blak Angel na Javada. Album hiyo ambayo ina ngoma kama kula bata, happy, Dear son, inapatikana exclusive kwenye digital platform zote […]
Read More