Bayern Munich Wapeleka Ofa Kwa Nyota wa Arsenal Gabriel Martinelli
Klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani inazidi kuonyesha nia ya kumsajili winga wa Arsenal, Gabriel Martinelli, huku ikichunguza uwezekano wa kuongeza mshambuliaji huyo wa Brazil katika kikosi chake msimu ujao. Martinelli, aliyekuwa na msimu mgumu wa 2024/25 kutokana na majeraha ya mara kwa mara, alionyesha ubora mkubwa zaidi msimu wa 2022-23, ambapo alifunga mabao 15 […]
Read More