Gee amuumbua Stevo Simple Boy “Tulipanga tufanye KIKI, Hatuna mahusiano”
Kama ulidhani mahusiano ya Stevo Simple Boy na Gee yalikuwa ya kweli ni kuambie tu pole, kwa sababu mrembo huyo amejitokeza hadharani na kukiri kuwa hajawahi toka kimapenzi na msanii huyo kama watu wengi wanavyochukulia mtandaoni. Gee ambaye amekuwa akideka sana juu ya huba la Stevo Simple Boy kiasi cha kuwatishia wanawake kutomchumbia hitmaker huyo […]
Read More