Gen Z Goliath Afunguka kwa Uchungu Baada ya Kushambuliwa
Kijana aliyejipatia umaaurufu nchini Kenya kupitia kimo chake, Gen Z Goliath, ameibuka na kueleza kwa masikitiko makubwa kuhusu tukio la kushambuliwa kwake pamoja na meneja wake, Francis Juma, wakati wa mechi ya kandanda kati ya FIFA Best FC na Bundes FC katika uwanja wa NCC, Kawangware. Kupitia ujumbe wa hisia alioweka mitandaoni, Goliath ambaye pia […]
Read More