Ben Githae Aomba Msamaha kwa Gen Z: “Ninajifunza, Naomba Radhi”
Mwanamuziki mashuhuri wa nyimbo za injili na kisiasa, Ben Githae, ameomba msamaha kwa kizazi kipya cha vijana wa Kenya maarufu kama Gen Z baada ya kulengwa vikali mitandaoni kutokana na misimamo yake ya awali ya kisiasa, hasa wakati wa kampeni za “Tano Tena”. Kupitia mahojiano na kituo kimoja cha redioni nchini, Githae alikiri kwamba wakati […]
Read More