Geoffrey Mosiria Atoa Wito wa Msamaha Kati ya Director Trevor na Eve Mungai
Mchambuzi wa masuala ya mitandaoni, Geoffrey Mosiria, ametoa rai kwa Director Trevor kumsaamehe na kumsaidia aliyekuwa mpenzi wake, Eve Mungai, akisisitiza kuwa wawili hao wanapaswa kuzingatia maisha ya sasa na mipango ya baadaye, badala ya kuzidi kushikilia yaliyopita Kupitia mitandao yake ya kijamii, Mosiria amesema kuwa lawama na kejeli zinazotokana na habari za uongo mitandaoni […]
Read More