Georgina na Tyler Mbaya Kuendelea Kushirikiana Kwenye Maudhui, Licha ya Kutengana

Georgina na Tyler Mbaya Kuendelea Kushirikiana Kwenye Maudhui, Licha ya Kutengana

Mwanamitindo na mshawishi wa mitandao ya kijamii, Georgina Njenga, amefunguka wazi kuhusu uhusiano wake na baba wa mtoto wake, Tyler Mbaya maarufu kama Baha. Akiwa kwenye mahojiano ya hivi karibuni, Georgina alieleza kuwa ingawa hawako tena kwenye mahusiano ya kimapenzi, wawili hao wataendelea kushirikiana katika malezi ya binti yao na pia kuunda maudhui pamoja. “Sitarudi […]

Read More