Geosteady akanusha kurudiana na baby mama wake Prima Kardash
Msanii kutoka nchini Uganda Geosteady amekanusha kurudiana na baby mama wake Prima Kardash kufuatia uvumi unaosamba mtandaoni kuwa wawili hao wanatoka kimapenzi. Kwenye mahojiano na karibuni yake amesema ukaribu wao ulikuwa ni kwa ajili ya kuitangaza show yake itakayofanyika leo aliyoipa jina “Dine With Geosteady” “Alionekana tu kwa video yangu. Hakuna kitu kingine zaidi ya […]
Read More