SHAKIRA AKIRI KUMPENDA GERARD PIQUE LICHA YA NDOA YAO KUVUNJIKA

SHAKIRA AKIRI KUMPENDA GERARD PIQUE LICHA YA NDOA YAO KUVUNJIKA

Mwanamuziki Shakira bado anaumizwa na kuvunjika kwa penzi lake na Gerard Pique, ameripotiwa kukasirika baada ya kuona video ambayo inamuonesha nyota huyo wa Barcelona akidendeka na mpenzi mpya, binti wa miaka 23 anayeitwa Clara Chia Marti. Tovuti mbali mbali nchini Uhispania zinaripoti kwamba Shakira ameshikwa na gadhabu baada ya kumuona Pique ambaye waliachana mwezi June […]

Read More