Shatta Wale Akanusha Madai ya Kumtelekeza Mama Yake
Msanii wa muziki wa dancehall kutoka Ghana, Charles Nii Armah Mensah, maarufu kama Shatta Wale, amekanusha madai yanayosambaa kwamba amemtelekeza mama yake mzazi kwa kutompa mahitaji ya msingi. Akizungumza kupitia podcast ya moja kwa moja, Shatta Wale aliweka wazi kuwa amewahi kumsaidia mama yake kwa njia mbalimbali, ikiwemo kumpatia magari na makazi bora ya kuishi. […]
Read More