GLORIA MULIRO AFUNGA NDOA NA PASTA EVANS SABWAMI.
Msanii wa nyimbo za injili nchini Gloria Muliro amefunga rasmi ndoa na mchumba wake wa siku nyingi Evans Sabwami kwenye hafla ya siri iliyohudhuriwa na wanafamilia huko New York chini Marekani. Hii imekuja wiki chache zilizopita baada ya kumvisha pete mchumba wake Evans Sabwami ambapo walienda mbali zaidi na kufunga ndoa ya kitamaduni maarufu kama […]
Read More