Mwimbaji wa Rwanda, Gloriose Musabyimana ‘Gogo’ Afariki Dunia Uganda
Mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka Rwanda, Gloriose Musabyimana maarufu kama Gogo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 36. Taarifa zinaeleza kuwa Gogo alifariki usiku wa Septemba 3, 2025 nchini Uganda baada ya kuugua kwa muda mfupi. Kifo chake kimewashtua mashabiki na wadau wa muziki, ambapo wengi wameeleza masikitiko yao kupitia mitandao ya kijamii. […]
Read More