GOOGLE YAWEKA UWEZO WA SIMU KUREKODI VIDEO WAKATI WA DHARURA.
Google imeweka uwezo wa simu kurekodi video katika wakati wa dharura kwenye Android 12. Imeweka uwezo wa kurekodi video automatic endapo mtu akibonyeza power button zaidi ya mara 5 au unapokwepo katika hali ya hatari. Katika sehemu ya Emergency SOS, mtumiaji anaweza kuwasha option ya “Record emergency Video” ambapo endapo ukibonyeza Power Button mara […]
Read More