Grace Mwai na mume wake Hiram Kamuhunjia wakiri kufanya maombi kabla ya tendo la ndoa
Mtengeneza maudhui kutoka Kenya Hiram Kamuhunjia na mchumba wake mwimbaji wa nyimbo za injili Grace Mwai wamefichua kuwa huwa wanasali kabla ya kushiriki tendo la ndoa. Wakizungumza wakati wa kipindi cha maswali na majibu na wanandoa mashuhuri wa Akorino Carey Priscilla na Benito Muriu, wawili hao walisema hata Wakristo wanapaswa kufuata taratibu za kidini katika […]
Read More