KAMATI YA GRAMMY WAFANYIA MABORESHO VIPENGELE VYA TUZO HIZO

KAMATI YA GRAMMY WAFANYIA MABORESHO VIPENGELE VYA TUZO HIZO

Kamati ya Tuzo za Grammy’s (Recording Academy) imefanya mabadiliko pamoja na maboresho kwenye Tuzo hizo ikiwemo kuongeza baadhi ya vipengele ambavyo awali havikuwepo. Miongoni mwa machache ambayo Grammy’s wameongeza ni Tuzo ya Mwandishi bora wa nyimbo (Songwriter of The Year) ambapo sasa waandishi mahiri wa nyimbo watatunukiwa Tuzo kuanzia Tuzo za mwaka 2023. Kipengele kingine […]

Read More