GRAND P ATEULIWA BALOZI WA UTALII NA UTAMADUNI NCHINI GUINEA

GRAND P ATEULIWA BALOZI WA UTALII NA UTAMADUNI NCHINI GUINEA

Mwanamuziki mwenye umbo dogo kutoka nchini Guinea Grand P ameteuliwa kuwa balozi wa utamaduni na utalii kuliwakilisha taifa hilo kwenye nchi jirani ya Mali Grand P kupitia ukurasa wake wa Facebook amemshukuru Kanali Mamadi Doumbuya ambaye anashikilia wadhfa wa Urais wa mpito nchini Guinea kwa kumpatia pasipoti ya kidiplomasia huku akisisitiza dhamira yake ya kufanya […]

Read More
 PENZI LA GRAND P NA EUDOXIE YAO LAFUFUKA TENA

PENZI LA GRAND P NA EUDOXIE YAO LAFUFUKA TENA

Kama ulikuwa unadhani penzi la Grand P na Eudoxie Yao limevunjika nikuambie tu pole. Mwanamuziki huyo mashuhuri kutoka Guinea amethibitisha kuwa bado anampenda mrembo huyo. Kupitia ukurasa wake wa Facebook Grand P ameposti mfululizo wa picha za kimahaba zaidi akiwa na Eudoxie ambapo amesisitiza kuwa ataishi kumpenda mwanadada huyo aliyebarikiwa na makalio makubwa kutoka Ivory […]

Read More
 GRAND P ADATA NA PENZI LA EUDOXIE YAO, ACHORA TATTOO YA JINA LAKE KWENYE KIFUNDO CHA MKONO

GRAND P ADATA NA PENZI LA EUDOXIE YAO, ACHORA TATTOO YA JINA LAKE KWENYE KIFUNDO CHA MKONO

Mwanamuziki nyota kutoka nchini Guinea Moussa Sandiana Kaba maarufu kama Grand P , ameamua kuchora tattoo yake ya kwanza katika mwili wake kwa kuandika jina la mpenzi wake mwenye umbo kubwa kumzidi, Eudoxie Yao. Grand P amechora tattoo inayosomeka ‘ ๐’๐’๐’—๐’† ๐’†๐’–๐’…๐’๐’™๐’Š๐’† ‘ akionesha ni kwa namna gani anampenda mpenzi wake huyo raia wa Ivory […]

Read More
 GRAND P AMVISHA PETE MPENZI WAKE EUDOXIE YAO

GRAND P AMVISHA PETE MPENZI WAKE EUDOXIE YAO

Mwanamuziki kutoka nchini Guinea, ‘Grand P’ amemvisha pete mpenzi wake wa muda mrefu Eudoxie Yao ambaye ni raia wa Ivory Coast. Wapenzi hao wawili walikuwa kwenye mahojiano na moja ya runinga nchini Gabon ambapo Grand P alipiga magoti na kumvisha Eudoxie Pete na kuahidi kutorudia makosa yaliyosababisha uhasama kati yao awali. Haya yanajiri ikiwa ni […]

Read More
 PENZI LA MWANAMUZIKI GRAND P NA EUDOXIE YAO LAFUFUKA TENA

PENZI LA MWANAMUZIKI GRAND P NA EUDOXIE YAO LAFUFUKA TENA

Mwanamuziki mashuhuri kutoka Guinea Moussa Sandiana Kaba almaarufu Grand P amethibitisha kuwa bado anampenda soshalaiti Eudoxie Yao miezi kadhaa baada ya ripoti kuenea kuwa wametengana. Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Grand P amesema ataishi kumpenda mwanadada huyo aliyebarikiwa na makalio makubwa kutoka Ivory Coast ambapo amedhihirisha upendo wake kwake usio na mwisho. โ€œWewe na mimi […]

Read More
 EUDOXIE YAO BADO ANA MAPENZI KWA EX WAKE GRAND P, AMTAKIA KHERI KWENYE MAISHA YAKE MAPYA

EUDOXIE YAO BADO ANA MAPENZI KWA EX WAKE GRAND P, AMTAKIA KHERI KWENYE MAISHA YAKE MAPYA

Mwanamitindo mwenye shepu matata kutoka nchini Ivory Coast Eudoxie Yao amemtakia kila la kheri katika maisha aliyekuwa mpenzi wake Grand P, baada ya kumuona kwenye video akijivinjari katika bwawa la kuogelea na mwanamke mwingine. Katika video hiyo, mwanamuziki huyo kutoka Guinea mwenye umbile dogo zaidi ameposti video Facebook akiwa amejiachia na mrembo wake mpya. โ€œMaisha […]

Read More