Sunderland Yaingia Mazungumzoni na Bayer Leverkusen kwa Ajili ya Granit Xhaka
Klabu ya Sunderland, ambayo imepanda daraja na itashiriki Ligi Kuu ya England (EPL) msimu ujao, imeanza mazungumzo rasmi na klabu ya Bayer Leverkusen kwa ajili ya kumsajili kiungo mkongwe Granit Xhaka. Xhaka, ambaye aliwahi kuichezea Arsenal kwa mafanikio, kwa sasa ana umri wa miaka 32 na amebakisha miaka mitatu kwenye mkataba wake na Leverkusen. Hata […]
Read More