Zex amtaka Gravity Omutujju kuomba radhi kwa kuwavunjia heshima wasanii wakongwe

Zex amtaka Gravity Omutujju kuomba radhi kwa kuwavunjia heshima wasanii wakongwe

Rapa Zex Bilangilangi amemtaka Gravity Omutujju kumuomba msamaha bosi firebase Bobi Wine la sivyo atafunza adabu kwa kumzushia kichapo cha mbwa msikitini. Zex amesema alikerwa na kauli ya Omutujju kudai kuwa yeye ni mwanamuziki bora kutoka uganda kuwashinda wasanii wakongwe Bobi Wine, Jose Chameleone na Bebe Cool ambapo alienda mbali zaidi na kuwataka kustaafu muziki […]

Read More