Rapa Gravitty Omutujju afufua bifu yake na Jose Chameleone

Rapa Gravitty Omutujju afufua bifu yake na Jose Chameleone

Rapa kutoka nchini Uganda Gravity Omutujju amefufua tena bifu yake na msanii mkongwe Jose Chameleone. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni Omutujju amesema hana mpango kumuunga mkono Chameleone kwenye shoo yake ijayo, itakayofanyika huko Lugogo, Cricket Oval. Gravity Omutujju amesema shoo ya msanii huyo itabuma vibaya huku akidai kwamba hatokuja kumheshimu Jose Chameleone kwa sababu hajawahi […]

Read More
 ROGER LUBEGA AMJIBU GRAVITY OMUTUJJU, ADAI ANATUMIA JINA LA SPICE DIANA KUTAFUTA KIKI

ROGER LUBEGA AMJIBU GRAVITY OMUTUJJU, ADAI ANATUMIA JINA LA SPICE DIANA KUTAFUTA KIKI

Meneja wa Spice Diana, Roger Lubega amemjibu Gravity Omutujju kuonekana kumshambulia katika siku za hivi karibuni kwa kudai kwamba ni mnafiki na hajawahi watakiwa wasanii wengine mema kwenye muziki wao. Katika mahojiano yake Roger Lubega amesema hana ugomvi wowote na Omutujju huku akidai kuwa rapa huyo anatumia jina la msanii wake Spice Diana kutengeneza matukio […]

Read More