GRAVITY OMUTUJJU: BEBE COOL SIO RAFIKI YANGU WA KARIBU, SIMPENDI
Rapa kutoka Uganda Gravity Omutujju amefunguka na kudai kuwa hataki kuwa rafiki wa msanii mwenzake Bebe Cool licha ya kufanya wimbo wa pamoja. Katika mahojiano yake ya hivi karibuni Omutujju amesema hana ugomvi wowote na msanii huyo ila hajawahi pata amani akiwa karibu na bebe cool kwa sababu ni mnafiki mkubwa. Bebe Cool na Gravitty […]
Read More