GRENADE AFUNGUKA JUU YA KUTOKA KIMAPENZI NA WANAWAKE WAZEE

GRENADE AFUNGUKA JUU YA KUTOKA KIMAPENZI NA WANAWAKE WAZEE

Mwanamuziki kutoka Uganda Grenade amefunguka kuhusu madai ya kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanawake waliomzidi umri. Katika mahijiano yake hivi karibuni Grenade amesema licha ya changamoto alizokutana nazo akiwa anawachumbia, hajutii kutoka kimapenzi na wanawake wazee kwa kuwa yeye ni mtu mzima ambaye anafanya maamuzi yake binafsi. Kauli ya imekuja siku chache baada ya […]

Read More
 GRENADE AACHIWA HURU KWA DHAMANA

GRENADE AACHIWA HURU KWA DHAMANA

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Grenade ameachiwa uhuru kutoka jela ikiwa ni siku chache tangu kukamatwa kwake. Grenade alitiwa mbaroni na polisi nchini humo kwa tuhuma za kumzaba makofi aliyekuwa mpenzi wake Kilooto baada ya uhusiano wao wa kimapenzi kuingiwa na ukungu miezi kadhaa iliyopita. Juni mosi mwaka huu Grenade alifikishwa mahakamani ambapo alikana madai ya […]

Read More
 GRENADE AFUNGUKA SABABU ZA WAREMBO WA UGANDA KUMGANDA KAMA GUNDI

GRENADE AFUNGUKA SABABU ZA WAREMBO WA UGANDA KUMGANDA KAMA GUNDI

Msanii kutoka nchini Uganda Grenade amefunguka siri ambayo imewafanya wanawake wengi nchini humo kumpenda bila sababu za msingi. Kwenye mahojiano na Galaxy FM Grenade amejitapa kuwa ana ujuzi wa kipekee linapokuja swala la kutumia ulimi wake kuwashawishi wanawake ambapo ameenda mbali zaidi na kujinasibu kuwa swala hilo limewafanya wanawake wengi nchini uganda kumzimia kimapenzi. Grenade […]

Read More