Makundi WhatsApp Yapata Sehemu ya Status kwa Mara ya Kwanza

Makundi WhatsApp Yapata Sehemu ya Status kwa Mara ya Kwanza

Kampuni ya WhatsApp imeanza rasmi majaribio ya kipengele kipya kitakachowezesha makundi (Groups) kuwa na sehemu maalum ya Status, sawa na jinsi watumiaji wa kawaida wanavyoweka status binafsi. Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vya karibu na majaribio hayo, mabadiliko haya yanalenga kuongeza mwingiliano wa kijamii ndani ya Groups, kwa kutoa nafasi kwa wanachama wa kundi […]

Read More