GRAVITY OMUTUJJU AFUNGUKA KUHUSU AFYA YAKE YA AKILI
Rapa kutoka nchini Uganda Gravity Omutujju amefunguka tusiyoyajua kuhusu maisha yake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram omutujju ametoa ya moyoni kwa kusema kuwa amekuwa akipambana na msongo wa mawazo licha ya kuendelea na harakati zake za kuachia nyimbo kila mara. Hitmaker huyo wa ngoma ya “Tusimbudde” ameenda mbali zaidi na kudai kwamba amekuwa akiishi kwa […]
Read More