GUARDIAN ANGEL AACHIA RASMI VICTORY ALBUM
Mwanamuziki wa nyimbo za injili nchini Guardian Angel ameachia rasmi album yake mpya inayokwenda kwa jina la Victory. Victory imebeba jumla ya mikwaju 10 ya moto huku ikiwa na kolabo 3 pekee. Guardian Angel ameshirikiana na wakali kama Solon Mkubwa,Goodluck Gozbert na Moji Short Baba Album ya “Victory” ni album ya pili kwa mtu mzima […]
Read More