WILLY PAUL AFUNGUKA SABABU ZA KUTOACHIA WIMBO WAKE NA GUCHI

WILLY PAUL AFUNGUKA SABABU ZA KUTOACHIA WIMBO WAKE NA GUCHI

Staa wa muziki nchini Willy Paul amefunguka sababu za kutoachia wimbo uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na mashabiki kati yake na msanii wa Nigeria Guchi. Kwenye mahojiano na Mungai Eve Willy Paul amesema video ya ngoma hiyo ilivuja mtandaoni, kitendo ambacho kilimkasirisha na kuamua kufutilia mbali mchakato wa kuachia wimbo huo. Lakini pia ameweka wazi chanzo […]

Read More
 MR SEED ADOKEZA KOLABO NA GUCHI KUTOKA NIGERIA

MR SEED ADOKEZA KOLABO NA GUCHI KUTOKA NIGERIA

Mwimbaji nyota nchini Mr. Seed licha ya kuwa anaendela kufanya vizuri na wimbo wake “Pressure”, mkali huyo hataki kupoa, ametumia wikiendi hii iliyopita kurekodi ngoma mpya. Mr. Seed amepost misururu ya picha kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa studio na Guchi wakiwa wanarekodi, hali inayoashiria kuwa wawili hao wapo mbioni kuachia wimbo wa pamoja. Guchi […]

Read More
 GUCHI AKANUSHA KUFUNGIWA HOTELINI NAIROBI

GUCHI AKANUSHA KUFUNGIWA HOTELINI NAIROBI

Mwanamuziki wa Nigeria Guchi amekanusha madai yanayosambaa mtandaoni kuwa amefungiwa kwwnye moja ya hoteli jijini Nairobi kutokana na kushindwa kulipa pesa za chakula na malezi. Akizungumza na Nairobi Gossip Guchi amesema madai ya kufukuzwa kwenye hoteli alimokuwa anaishi kwa kusema kwamba promota ambaye alimleta Kenya anamweka vizuri huku akidokeza kuwa amehamia kwenye hoteli kubwa kutokana […]

Read More