Vybz Kartel na Mavado Waungana Tena Baada ya Miaka 17 ya Bifu la Gaza vs Gully
Wasanii wawili maarufu wa dancehall kutoka Jamaica, Vybz Kartel na Mavado, wamezua gumzo kubwa baada ya kuungana tena rasmi kwa mara ya kwanza tangu bifu lao kali la mwaka 2008 maarufu kama “Gaza vs Gully”. Wawili hao, waliowahi kugawanya mashabiki wa muziki wa dancehall kwa kambi pinzani za Gaza (Kartel) na Gully (Mavado), sasa wameamua […]
Read More