Rapa Gunna akiri mahakamani label ya muziki YSL ni kundi la kihalifu

Rapa Gunna akiri mahakamani label ya muziki YSL ni kundi la kihalifu

Video imevuja ikimuonesha rapa Gunna akikiri makosa yake mahakamani siku ya jana ambapo ameonekana akikubali kuwa “YSL” ni kundi la kihalifu. Wengi wamedai kuwa amewasaliti wenzake kwa kufikia maamuzi hayo ili tu aachiwe huru na msala uendelee kubaki kwa wenzie. Gunna aliachiwa jana kutoka jela ambapo alikaa kwa muda wa miezi 7 jela. Rapa huyo na wanachama wenzake […]

Read More