H.BABA AKATA TAMAA KUDAI HAKI YAKE KUTOKA KWA HARMONIZE

H.BABA AKATA TAMAA KUDAI HAKI YAKE KUTOKA KWA HARMONIZE

Mwanamuziki wa Bongofleva H.Baba amefunguka kuhusu madai ya kutofaidi na mirabaha ya wimbo wa Attitude aliyoshirikishwa na Harmonize. Kuptia ukurasa wake wa Instagram H.Baba amesema ameamua kumuachia Mungu suala hilo na kwa sasa amerudi kwenye maisha yake ambayo hadhulumiwi. “Kila chenye mwanzo kina mwisho mdogo wangu, haya yote yatakurudia tu, utadhulumika na wewe na utalalamika […]

Read More
 H. BABA AMJIA JUU HARMONIZE KISA MIRAHABA YA WIMBO WA ATTITUDE

H. BABA AMJIA JUU HARMONIZE KISA MIRAHABA YA WIMBO WA ATTITUDE

Mwanamuziki wa bongofleva, H. Baba ameibuka kudai haki yake kutoka kwa Harmonize ambaye wamewahi kufanya nae kazi ya ushirikiano kupitia wimbo wa “Attitude” ambao ulitoka Aprili 23, mwaka jana akiwemo pia gwiji kutoka DR Congo, Awilo Longomba. Kupitia ukurasa wake wa instagram, H. Baba amedai kudhulumiwa jasho lake kutokana na ushiriki wake katika wimbo huo […]

Read More
 H. BABA AZUA GUMZO MTANDAONI BAADA YA KUMU-UNFOLLOW HARMONIZE NA KUMFUATA DIAMOND PLATINUMZ INSTAGRAM

H. BABA AZUA GUMZO MTANDAONI BAADA YA KUMU-UNFOLLOW HARMONIZE NA KUMFUATA DIAMOND PLATINUMZ INSTAGRAM

Mwanamuziki wa Bongofleva, H. Baba kwa sasa anam-follow Diamond Platnumz pekee kwenye ukurasa wake wa Instagram ambao una followers zaidi ya laki 6. Juzi kati H. Baba alimpongeza Diamond kwa kutumbuiza kwenye show maalumu iliyoandaliwa na waandaaji wa tuzo za Grammy, Recording Academy iitawayo Global Spin ambayo ina lengo la kuuibua na kuutangaza zaidi muziki […]

Read More