H.E.R AISHTAKA LEBO YAKE YA MUZIKI
Mshindi wa tuzo ya Grammy, mwimbaji H.E.R, ameishitaki lebo yake ya muda mrefu ya MBK Entertainment, ambayo inamilikiwa na Jeff Robinson kwa ukiukaji wa kanuni ya biashara na taaluma. H.E.R ambaye jina lake halisi ni Gabriella Sarmiento Wilson , amekuwa chini ya lebo ya MBK kwa kipindi cha zaidi ya miaka 11, alisainishwa na lebo […]
Read More