Selena Gomez Amkingia Kifua Hailey Bieber Kisiri Baada ya Shutuma za Justin
Mwanamuziki na mwigizaji maarufu, Selena Gomez, ameonekana kuonyesha mshikamano wa kimya lakini wa dhati kwa Hailey Bieber, mke wa zamani wa mpenzi wake, Justin Bieber, kufuatia kauli ya kuumiza aliyotoa Justin kuhusu jarida la Vogue. Hili limetokea baada ya Justin Bieber kufichua kuwa aliwahi kumwambia Hailey kuwa hatawahi pata nafasi ya kuwa kwenye jalada la […]
Read More