Halima Namakula Awaasa Wasanii wa Kike: “Msikimbilie Kujifungua, Jengeni Kwanza Ndoto Zenu”

Halima Namakula Awaasa Wasanii wa Kike: “Msikimbilie Kujifungua, Jengeni Kwanza Ndoto Zenu”

Mwanamuziki mkongwe na anayeheshimika sana katika tasnia ya burudani nchini Uganda, Halima Namakula, ameendelea kudhihirisha hekima yake kwa kutoa ushauri mzito kwa wasanii wa kike wa kizazi kipya. Katika mahojiano ya hivi karibuni, Namakula aliwahimiza wasanii wa kike kutokukimbilia suala la kuanzisha familia mapema, badala yake wajikite kwenye masuala yakukuza taaluma zao za muziki na kufurahia […]

Read More
 WASANII HANSON BALIRUNO NA HALIMA NAMAKULA KWENYE KASHFA YA WIZI

WASANII HANSON BALIRUNO NA HALIMA NAMAKULA KWENYE KASHFA YA WIZI

Wasanii Halima Namakula and Hanson Baliruno wameingia kwenye headlines nchini Uganda mara baada ya kutuhumiwa kumtapeli promota wa muziki nchini humo Eddies K Promotions shillling laki 2 za Kenya. Kulingana na Eddie K Promotions, Halima Namakula na Hanson Baliruno walimuibia pesa hizo baada ya performance yao huko Mubunde nchini Uganda ambapo waliwatishia maisha wafanyikazi wake […]

Read More