Hamisa Mobetto Apewa G-Wagon ya Mamilioni Katika Anniversary ya Ndoa

Hamisa Mobetto Apewa G-Wagon ya Mamilioni Katika Anniversary ya Ndoa

Staa wa mitindo na muziki kutoka Tanzania, Hamisa Mobetto, amepewa zawadi ya gari jipya la kifahari aina ya Mercedes-Benz G-Class (G-Wagon) na mumewe Stephane Aziz Ki, ikiwa ni zawadi ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu wafunge ndoa. Kupitia picha na video zilizosambaa mitandaoni, Hamisa ameonekana mwenye furaha akipokea zawadi hiyo ya thamani kubwa, huku akimshukuru mumewe […]

Read More
 Hamisa Mobetto Afunguka Baada ya Tetesi za Ujauzito Kusambaa Mtandaoni

Hamisa Mobetto Afunguka Baada ya Tetesi za Ujauzito Kusambaa Mtandaoni

Mrembo na mfanyabiashara kutoka Tanzania, Hamisa Mobetto, amefunguka baada ya tetesi za ujauzito wake kusambaa kwa kasi mtandaoni. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Stories, Hamisa ameamua kuvunja ukimya na kuweka wazi msimamo wake kuhusu habari hizo ambazo zimezua mjadala mkubwa miongoni mwa mashabiki na wadau wa mitandao ya kijamii. Hamisa amesema kuwa kama kweli kuna […]

Read More