HAMISA MOBETTO AKANUSHA KUMFICHA MPENZI KWA HOFU YA KUPOKONYWA

HAMISA MOBETTO AKANUSHA KUMFICHA MPENZI KWA HOFU YA KUPOKONYWA

Mwimbaji na Mwanamitindo maarufu Tanzania, Hamisa Mobetto amekanusha madai kuwa amekuwa akimficha mpenzi wake wa sasa kwa kuhofia kupokonywa. Akizungumza na Wanahabari siku ya jana, Mobetto alieleza kuwa kwa kawaida huwa hathamini kuyaanika mahusiano yake hadharani. “Mimi naamini kama kitu ni chako na Mungu amepanga, basi kitakufikia na hakitakuwa cha kuibiwa. Siamini kama mwanaume anaweza […]

Read More
 HAMISA MOBETTO KUNUNUA PRIVATE JET

HAMISA MOBETTO KUNUNUA PRIVATE JET

Baada ya kuzawadiwa Range Rover na mpenzi wake, Mwanamitindo na Msanii wa Bongofleva, Hamisa Mobetto ameweka wazi kiu yake ya kununua private Jet. Hamisa ameweka wazi hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo alikuwa anashukuru kwa kupata gari hilo alilokabidhiwa wikiendi iliyopita. “Mungu hakupi unachotaka, anakupa unachostahili,” alisema Hamisa katika ujumbe wake. Endapo Hamisa akifanikisha […]

Read More
 HAMISA MOBETTO AACHIA RASMI YOURS TRULY EP

HAMISA MOBETTO AACHIA RASMI YOURS TRULY EP

Msanii wa Bongofleva Hamisa Mobeto ameachia rasmi EP yake mpya iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki zake. EP hiyo inakwenda kwa jina la Yours Truly ina jumla ya nyimbo 4 na bonus track moja ambapo amewashirikisha wakali kama Otile Brown na Korede Bello. Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram Hamisa Mobetto ameshare artwork pamoja na Tracklist ya EP hiyo […]

Read More
 HAMISA MOBETTO MBIONI KUACHIA EP YAKE MPYA

HAMISA MOBETTO MBIONI KUACHIA EP YAKE MPYA

Mwimbaji wa Bongofleva, Hamisa Mobetto amethibitisha kuachia Extended Playlist (EP) yake mpya wiki hii. Hamisa amebainisha hayo akizungumza na waandishi wa habari alipokuwa akitangaza kupata dili nono la ubalozi wa Kampuni ya “House of beauty” “Wiki ijayo natoa EP yangu, itakuwa ni ya kwanza tangia nimeanza safari yangu ya muziki, tulikuwa tunabishana kati ya kutoa […]

Read More