Hanstone Aibua Madai Mazito Dhidi ya WCB Wasafi

Hanstone Aibua Madai Mazito Dhidi ya WCB Wasafi

Msanii wa Bongo Fleva, Hanstone, amevunja ukimya kuhusu maisha yake ndani ya lebo ya WCB Wasafi, akieleza hadharani changamoto alizokumbana nazo kipindi alichokuwa akihudumu humo. Akizungumza juzi kwenye mahojiano, Hanstone alidai kuwa alikaa ndani ya WCB kwa kipindi cha miaka mitatu bila kutambulishwa rasmi kama msanii wa lebo hiyo. Katika kipindi hicho, alieleza kuwa alihusika […]

Read More
 Hanstone adai kuibiwa wimbo na Diamond Platnumz

Hanstone adai kuibiwa wimbo na Diamond Platnumz

Msanii wa Bongofleva Hanstone ameibuka na madai ya kwamba Diamond Platnumz ameiba wimbo wake kwenye kazi yake mpya “CHITAKI” ambayo ameidokeza kwenye mitandao ya kijamii. Kupitia insta story yake, Hanstone ameanika wazi hilo kwa kuweka kipande cha wimbo wake uitwao “NATETEMEKA” ambapo kwenye file inaonesha aliufanya mwaka 2019. Utakumbuka Hanstone na Diamond walikuwa na ukaribu ambapo Hanstone […]

Read More
 HANSTONE AACHIA RASMI THE AMAZING EP

HANSTONE AACHIA RASMI THE AMAZING EP

Msanii wa muziki wa kizazi kipya  nchini Tanzania Hassan Ramadhani Masanja maarufu kama ‘Hanstone’ ameachia EP yake mpya aliyoipa jina “The Amaizing” yenye jumla ya nyimbo 7. Mkali huyo ambaye alikuwa akihusishwa kuwa ni msanii mpya ajae kutoka lebo ya WCB, ameachia EP hiyo nje ya WCB. “The Amaizing EP” tayari inapatikana kwenye mitandao mbalimbali […]

Read More