Happy C aumizwa na hatua ya Akeelah kuacha muziki.
Msanii kutoka 001 music Happy C ameoneshwa kusikitishwa na kitendo cha Akeelah kutangaza kuacha muziki. Kwenye mahojiano na Captain Nyota amesema Akeelah ni msanii mwenye kipaji cha kipekee kwenye muziki wa Kenya, hivyo hapaswi kukata tamaa kwenye harakati za kuipambania ndoto yake kwa kuwa muziki una changamoto nyingi. Happy C amemshauri kujifikiria tena kutokana na […]
Read More