HAPPY C AMPA ZA USO WILLY PAUL KWA KUKOSA UBUNIFU

HAPPY C AMPA ZA USO WILLY PAUL KWA KUKOSA UBUNIFU

Mkali wa muziki nchini Happy Chondo maarufu kama Happy C kutoka lebo ya 001 Music amemtolea uvivu staa wa muziki nchini Willy Paul kwa madai ya kukosa ubunifu kwenye uandishi wa nyimbo zake. Happy C ametoa kauli hiyo kupitia insta story kwenye mtandao wa Instagram mara baada ya Willy Paul kuachia wimbo wake mpya uitwao […]

Read More