HARMONIZE AIACHIA RASMI HIGH SCHOOL ALBUM
Baada ya listening party ya album mpya ya harmonize “High School” iliyofanyika usiku wa kuamkia leo kwenda vizuri, boss huyo wa Konde Gang, ambaye tayari ana miaka mitano tangu atoke na kutambulika rasmi kwenye muziki wa Bongo Fleva, ameichia rasmi album hiyo yenye jumla ya mikwaju 20 ya moto na collabo 6 pekee. Hitmaker huyo […]
Read More