HARMONIZE ATANGAZA UJIO WA GENGEFLEVA EP

HARMONIZE ATANGAZA UJIO WA GENGEFLEVA EP

Baada ya kuachia album yake mpya “High School” bila kuwashirikisha wasanii wa Kenya, Staa wa muziki wa Bongofleva Harmonize ametangaza ujio wa EP yake mpya iitwayo “Gengefleva”. Kupitia ukurasa wake wa instagram Harmonize amesema Ep hiyo itakuwa na jumla ya mikwaju 5 ya moto ambapo atawashirikisha wasanii wa kenya wenye vipaji bila kuangalia ukubwa wa […]

Read More